Ni kusema iyi milango yote sita ilizala watoto, nikusema watoto wote wa Tshona ni 26.wanahume kumi na kenda (19) na wana wake saba (7)
1.Bibi wa kwanza wa Tshona Mubela mbayo alizala watoto 4 wanahume , majina yabo ndio aya :Kahenga,Mukisi,Kambamba nyunzi,na Kitenge Mbokamiba kalimbalimba.
2.Bibi wa Pili wa Tshona ni Malunga na alizala watoto tano(5) wanahume tatu (3) na wanawake mbili (2). na majina yabo ni aya :Matete Bilauli Makumbi,Matafali ,Mubela (F) na Bugumba (F)
3.Bibi wa Tatu wa Tshona ni Muheya na alizala watoto wa tatu (3) wanahume na majina yabo ni aya :Takala , Busangu na Kitaba.
4.Bibi wa Ine waTshona ni Manganga na alizala watoto wa tatu (3) mbili(2) wanahume na moja (1) mwanamuke. na majina yabo ni aya : Mucheka , Kayumba na Faila (F).
5.Bibi wa Tano wa Tshona ni Bihanga na alizala watoto Ine (4) watatu wanahume na moja mwanamuke na majina yabo ni aya : Ngoi ,Kumbene ,Kitaba na Mukaina (F)
6.Bibi wa Sita wa Tshona ni Kaya masoma na alizala watoto saba (7) waine wanahume na watatu wana wake na majina yabo ni aya :Mukenya , Ngoi Muhazi , Hilunga Nzima ,Kitenge Amisi ,Maina (F),Mwange (F) na Bitulu (F) .
2/
